#41
Kuuliza iwapo kitu unachotaka kufanya kinawezekana
Mi Ya anamwita Tam. Inaonekana kuna taarifa Mi Ya ameona.
見る
miru
tazama
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ピアノコンクール
piano-konkuuru
shindano la kupiga piano
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
優勝する
yuushoo-suru
shinda
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ほんと
honto
kweli (kirafiki)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
すごい
sugoi
safi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
来月
raigetsu
mwezi ujao
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
2日
futsuka
tarehe 2
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
コンサート
konsaato
onyesho
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ある
aru
kufanyika
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
行く
iku
kwenda
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
チケット
chiketto
tiketi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
買う
kau
nunua
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
予約する
yoyaku-suru
shika nafasi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kuuliza iwapo kitu unachotaka kufanya kinawezekana
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kuuliza iwapo kitu unachotaka kufanya kinawezekana, tumia "[kitenzi cha umbo la kikamusi] + koto ga dekimasu ka." "Dekimasu" ni umbo la MASU la kitenzi "dekiru" yaani "kuweza kufanya."
"~ koto ga dekimasu (dekiru)" inaashiria kwamba kitu fulani kinawezekana.
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Samahani. Naweza kushika nafasi?
kushika nafasi ya viti
席を予約する
seki o yoyaku-suru
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Samahani. Naweza ~?
すみません。~ことができますか。
Sumimasen. ~koto ga dekimasu ka.
kufua
洗濯をする
sentaku o suru
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Samahani. Naweza ~?
すみません。~ことができますか。
Sumimasen. ~koto ga dekimasu ka.
kuazima kikausha nywele
ドライヤーを借りる
doraiyaa o kariru
Jifunze zaidi
Ushauri wa Haru-san
Kabuki: Sanaa ya Kitamaduni ya Japani
Kabuki ni moja ya sanaa maarufu za maonyesho ya kitamaduni nchini Japani. Waigizaji wa kiume pia huigiza kama wanawake.
Vipodozi vya usoni vinaonesha mishipa ya damu na misuli na kuifanya ionekane mno. Mistari miekundu inaashiria mtu mzuri, wakati ile ya buluu iliyokoza inaashiria mtu mbaya.
Waigizaji huweka pozi mahususi. Inasemekana kuwa lengo lilikuwa kuvuta macho ya hadhira kwao katika nyakati ambazo hakukuwa na majukwaa yenye taa za umeme wala kamera.
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"