#44
Kuwaambia watu ulichosikia
Hatimaye Tam alifanikiwa kuonana tena na Yuuki. Anawasimulia Haru-san na Kaito kuhusu kukutana kwake na Yuuki.
はい。
Hai.
Ndiyo.
会う
au
kutana
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
いい(←よかった)
ii (←yokatta)
‐zuri
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
とても
totemo
sana
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
うれしい
ureshii
furaha
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
活躍する
katsuyaku-suru
fanya vizuri
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
10月
juugatsu
mwezi wa Kumi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
また
mata
tena
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
コンサート
konsaato
onyesho
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ある
aru
fanyika
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
そうですか
soo desu ka
kumbe
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kuwaambia watu ulichosikia
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kumwambia mtu ulichosikia, tumia "[sentensi] + soo desu." Kabla ya "soo desu," sentensi yenye vitenzi, vivumishi, na nomino inakuwa ya mtindo wa kawaida. "Konsaato ga aru" (onyesho litafanyika) ni mtindo wa kawaida wa kusema "konsaato ga arimasu."
Tofauti kati ya "Oishii soo desu" na "Oishisoo desu":
Ili kusema "soo desu" kwa kitu ulichokisikia, ongeza "soo" katika sentensi iliyo kwenye mtindo wa kawaida. (mf., "Oishii soo desu." (Nimesikia ni tamu.)) Wakati huo huo, ili kutumia "soo desu" kuelezea fikra zako juu ya unachokiona, ondoa "i" mwishoni mwa kivumishi cha I au "na" mwishoni mwa kivumishi cha NA, na kisha ongeza "soo." (mf., "Oishisoo desu." (Inaonekana tamu.))
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Nimesikia tufani inakuja.
tufani inakuja
台風が来る
taifuu ga kuru
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Nimesikia [sentensi].
【sentensi】そうですね。
【sentensi】soo desu ne.
ni bure siku za Ijumaa
金曜日はただだ
kin-yoobi wa tada da
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Nimesikia [sentensi].
【sentensi】そうですね。
【sentensi】soo desu ne.
kuna joto mkoani Okinawa
沖縄は暑い
okinawa wa atsui
1月
ichi-gatsu
2月
ni-gatsu
3月
san-gatsu
4月
shi-gatsu
5月
go-gatsu
6月
roku-gatsu
7月
shichi-gatsu
8月
hachi-gatsu
9月
ku-gatsu
10月
juu-gatsu
11月
juuichi-gatsu
12月
juuni-gatsu
Jifunze zaidi
Mwongozo wa safari wa Mi Ya
Matamasha nchini Japani
Japani ina matamasha mbalimbali ya kitamaduni nchini kote. Inasemekana yapo mamia ya maelfu ya matamasha. Mathalani, Tamasha la Gion la Kyoto lilianza miaka elfu moja iliyopita na linahusisha jukwaa kubwa lililopambwa lenye magurudumu likivutwa kukatiza mitaa. Pia matamasha mengine maarufu ni pamoja na "Tamasha la Nebuta la Aomori" na "Tamasha la Awa Odori" huko Tokushima ambapo umati wa watu hucheza kwa utaratibu wa pamoja.
(1)
Tamasha la Gion
(Kyoto / Julai)
(2)
Tamasha la Nebuta la Aomori
(Aomori / Agosti)
(3)
Tamasha la Awa Odori
(Tokushima / Agosti)
(4)
Tamasha la Sanja
(Tokyo / Mei)
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"