#42
Kuelezea dhamira au mipango yako
Tam na Mi Ya wamefika kwenye onyesho la Yuuki, mpiga piano ambaye Tam anampenda.
はい。
Hai.
Sawa.
きれい(な)
kiree (na)
‐a kupendeza
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
花/お花
hana/ohana
maua
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
渡す
watasu
patia
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
すごく
sugoku
sana
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
いい(←よかった)
ii (←yokatta)
‐zuri
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
さあ
saa
basi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
楽屋
gakuya
chumba cha kubadilishia nguo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
行く
iku
kwenda
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kuelezea dhamira au mipango yako
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kuelezea unachofikiria kukifanya au unachotaka kufanya, tumia "[kitenzi cha umbo la kikamusi] + tsumori desu." "Watasu" yaani "kupatia" ni kitenzi cha umbo la kikamusi. Kiunganishi "ni" baada ya "Yuuki-san" kinamwashiria mpatiwaji.
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Ninapanga kwenda makumbusho na rafiki.
kwenda makumbusho na rafiki
友達と博物館に行く
tomodachi to hakubutsukan ni iku
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Ninapanga ~.
~つもりです。
~tsumori desu.
kupumzika chumbani kwangu
部屋でゆっくりする
heya de yukkuri-suru
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Ninapanga ~.
~つもりです。
~tsumori desu.
kuja Japani tena
また日本に来る
mata Nihon ni kuru
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Usemi huo hutumika kuelezea pindi unapoguswa au kuvutiwa. "Sugoku" namna ya kirafiki ya kusema "totemo" yaani "sana," na mara nyingi hutumika katika mazungumzo ya kila siku.
Mwongozo wa safari wa Mi Ya
Makasri ya Kijapani
Japani ina makasri kote nchini. Kuna namna mbalimbali za kufurahia kasri. Unaweza kufurahia umbo lake zuri, kupanda juu ya mnara ili kufurahia kutazama mandhari, au kutembea, kuzunguka ukuta wa mawe ama handaki la maji ili kudurusu nyakati za zamani.
Kasri la Himeji pia linajulikana kama "Kasri Jeupe la Kulastara" kwa sababu ya weupe wake, muonekano mzuri unaofanana na ndege kulastara mweupe akiwa ametanua mbawa zake. Na Kasri la Matsumoto lina mnara wa kasri wa kale zaidi nchini Japani, uliochomoza katika safu tano. Rangi yake nyeusi na nyeupe inavutia mno.
(1) Kasri la Himeji (Mkoani Hyogo)
(2) Kasri la Matsumoto (Mkoani Nagano)
(3) Kasri la Matsuyama (Mkoani Ehime)
(4) Kasri la Nagoya (Mkoani Aichi)
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"