#40
Kuelezea sababu
Tam, Mi Ya na Haru-san wameketi kwenye Nyumba ya Haru-san wakat kitu kisicho cha kawaida kilipotokea.
揺れる
yureru
tikisika
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
地震
jishin
tetemeko la ardhi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
助ける
tasukeru
msaada
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
落ち着く
ochitsuku
tulia
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
大丈夫(な)
daijoobu (na)
sawa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ほら
hora
ona
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
もう
moo
tayari
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
おさまる
osamaru
‐meisha
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
初めて
hajimete
mara ya kwanza
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
びっくりする
bikkuri-suru
kushtuka
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kuelezea sababu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kuelezea sababu, tumia kiunganishi "kara" yaani "kwa sababu/kwa kuwa." Katika "[sentensi 1] kara, [sentensi 2]," [sentensi 1] inaelezea sababu. Ni bora kutumia mtindo wa kawaida kwa [sentensi 1]. Mtindo wa kawaida hautumii "-desu" wala "-masu."
Mtindo wa kiungwana na mtindo wa kawaida:
Sentensi za Kijapani zina mitindo miwili -- mtindo wa kiungwana na mtindo wa kawaida. Mtindo wa kiungwana mwisho wa sentensi huwa na "-desu" (katika sentensi ya nomino au sentensi ya kivumishi) na "-masu" (katika sentensi ya kitenzi.) Hutumika katika hali ambazo rasmi. Wakati mtindo wa kawaida hautumii "-desu" (katika sentensi ya nomino au sentensi ya kivumishi) na "-masu" (katika sentensi ya kitenzi.) Hutumika katika lugha ya maandishi kwa ajili ya magazeti, ripoti za kitaaluma na kadhalika pamoja na katika mazungumzo ya kirafiki.
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Kwa kuwa mvua ilinyesha, sikwenda.
mvua ilinyesha | sikwenda
雨だった | 行きませんでした
ame datta | ikimasendeshita
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Kwa kuwa [sentensi 1], [sentensi 2].
【sentensi 1】から、【sentensi 2】。
【sentensi 1】 kara, 【sentensi 2】.
kulikuwa na joto | nilichoka
暑かった | 疲れました
atsukatta | tsukaremashita
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Kwa kuwa [sentensi 1], [sentensi 2].
【sentensi 1】から、【sentensi 2】。
【sentensi 1】 kara, 【sentensi 2】.
kilikuwa kitamu | niliongeza
おいしかった | おかわりしました
oishikatta | okawari-shimashita
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Hili ni umbo la TE la kitenzi "tasukeru" yaani "kusaidia." Hutumika kuomba msaada wakati wa dharura kama vile unapokuwa mgonjwa, kuumia au kupata ajali.
Ushauri wa Haru-san
Linapotokea tetemeko la ardhi
Ikiwa upo kwenye jengo linalohimili tetemeko la ardhi wakati linapotokea, usiende nje. Badala yake, tafuta sehemu salama ndani yake. Kama jengo litakuwa linayumba sana, subiri mpaka mtikisiko uishe na kisha tembea kwa uangalifu. Hakikisha unakinga kichwa chako hata ukiwa ndani ama nje. Shikilia mto, kitabu, au begi juu kidogo ya kichwa chako. Kujikinga chini ya meza pia kunaweza kufaa. Shikilia sehemu za juu za miguu ya meza.
Kuwa katika tahadhari ya mitetemo baada ya tetemeko kuu pia. Kama upo jirani na pwani, hamia sehemu ya mwinuko haraka iwezekanavyo kwa sababu tsunami inaweza kutokea.
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"