BurePakua (sauti/maandishi)

#1-10
#11-20
#21-30
#31-40
#41-48
Kupakua masomo
Masomo yote 48 ya "Jifunze Kijapani" yanaweza kupakuliwa bila malipo yoyote. Faili zilizo katika mfumo wa mp3 kwa kila somo zitapatikana kwenye tovuti hii baada ya kipindi kupeperushwa kupitia NHK WORLD-JAPAN. Kurasa za kitabu cha "Jifunze Kijapani" yaliyopo katika mfumo wa pdf katika kila somo pia zinaweza kupakuliwa bila malipo. Kitabu chenye masomo yote 48 pia kinapatikana bure.
Hatua za upakuaji

Kama unatumia simu ya smartphone na tableti:

Chagua na uhifadhi faili unalotaka kupakua. Baadhi ya data programu (OS) au aina fulani ya vifaa inaweza kuhitaji programu ya kuwezesha kupakua masomo.

Kama unatumia kompyuta:

Chagua faili unalotaka kupakua na ubonyeze kulia (kwa Mac iliyo na kitufe kimoja kwenye kipanya, kibonyeze kitufe hicho, pamoja na Ctrl kwa wakati mmoja) na ubonyeze "Save link as".

*Kupakua kumewekewa ukomo kwa matumizi binafsi.