NHK WORLD > Jifunze Kijapani

Jifunze Kijapani

Vipindi vya Jifunze Kijapani vya NHK WORLD vinatangazwa katika lugha 17. Chagua lugha yako.

Masomo 50 ya Jifunze Kijapani yanatangazwa na redio ya NHK WORLD

“Jifunze Kijapani” – Darasa la kujifunza Kijapani kwa mtandao kwa Kiswahili-
Kipindi cha dakika 10 kinachotangazwa na redio ya NHK WORLD kila wiki

Inatangazwa Februari 6 - Februari 12 Mpya

Somo la 45 Nakuona si mzima

Satoo san aliyekaa jirani na Kuon san yumo katika kushusha pumzi tu. Yamada san anamsemesha.

Kuangalia somo

Somo linalofuata Februari 13

Somo la 46 Nimewahi kuupanda

Mwisho wa wiki fulani, Kuon san alikwenda safari ndogo na mwenzake kazini.

Masomo yaliyopita

Kuangalia zaidi

Mbinu zaidi za kujifunza Kijapani bure

Jifunze Kijapani kwenye NHK WORLD

[Bure] Kutafuta na kuhifadhi masomo (Sauti /Maandishi)

Kwa maswali au maoni kuhusu Jifunze Kijapani: Kutuma maoni