NHK WORLD > Jifunze Kijapani > Mwanzo wa ukurasa wa Kiswahili

Somo la 45
Somo la 45 Kheri ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa! Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Anna. Rafiki zake wanasherehekea siku hiyo mgahawani. Anza Somo »
Somo la 44
Somo la 44 Baada ya kula vitamutamu vya Kijapani, unakunywa chai ya kijani. Baada ya kutembelea kasri la Himeji, Anna amehudhuria hafla ya chai kwenye nyumba iliyo karibu ambapo hafla hiyo hufanyika. Anza Somo »
Somo la 43
Somo la 43 Unadhani ni kwa nini? Anna yupo katika ziara ya kimasomo. Leo amekwenda kwenye kasri la Himeji mkoani Hyôgo. Anza Somo »