NHK WORLD > Jifunze Kijapani > Mwanzo wa ukurasa wa Kiswahili > Tunajifunza na Anna!

Tunajifunza na Anna!

Tafadhali tutumie picha inayoonyesha jinsi unavyojifunza Kijapani na pakua kalenda maalum!

Tafadhali ututumie picha inayoonyesha jinsi unavyojifunza kupitia kipindi cha "Jifunze Kijapani" cha NHK WORLD RADIO JAPAN!

  • Tungependa wasikilizaji wa kipindi cha "Jifunze Kijapani" watutumie picha zao wakiwa wanajifunza. Tafadhali piga picha inayoonyesha jinsi unavyojifunza Kijapani kupitia kipindi hicho. Tunapanga kuweka kwenye tovuti hii picha zitakazotumwa.
  • Wale wote watakaotuma picha wataweza kupakua seti ya kalenda ya 2019 yenye picha za "Jifunze Kijapani".
  • Utakapotuma picha, tafadhali tupe maoni yako kuhusu kipindi hiki na maswali kuhusu lugha ya Kijapani.
    (Tafadhali mtuwie radhi kuwa huenda tukashindwa kuweka picha zote zitakazotumwa kwenye tovuti hii.)

Tafadhali ungana nasi!

Vipindi vya redio

Kipindi maalum cha Jifunze Kijapani Tunajifunza na Anna!

Sehemu ya 1: Desemba 26, 2016

Sehemu ya 2: Desemba 27, 2016

Jinsi ya kutuma picha

  • Tafadhali piga picha inayoonyesha jinsi unavyojifunza kupitia kipindi cha "Jifunze Kijapani" cha NHK WORLD RADIO JAPAN.
  • Haijalishi kuwa picha hiyo itaonyesha unajifunza peke yako au na marafiki zako. Picha yako yaweza kuwekwa kwenye tovuti hii. Hivyo, kabla hujatutumia picha yako, tafadhali hakikisha kuwa watu wote wanaoonekana kwenye picha wameridhia picha hiyo iwekwe kwenye tovuti hii.
  • Utapaswa kukubaliana na vigezo na masharti ya kutuma picha kabla hujatuma. Tafadhali bonyeza kitufe cha "Tuma picha yako" kusoma vigezo na masharti hayo.
Tuma picha yako

Tafadhali tembelea kurasa zifuatazo iwapo unataka kuanza kujifunza kupitia kipindi cha "Jifunze Kijapani".

Hivi ndivyo tunavyojifunza Kijapani!

Tuma picha yako

pagetop