NHK WORLD > Jifunze Kijapani > Mwanzo wa ukurasa wa Kiswahili > Pakua Masomo

Pakua Masomo

Pakua Masomo

Masomo yote 48 ya "Jifunze Kijapani" yanaweza kupakuliwa bila malipo yoyote. Faili zilizo katika mfumo wa mp3 kwa kila somo zitapatikana kwenye tovuti hii baada ya kipindi kupeperushwa kupitia NHK WORLD RADIO JAPAN. Ukurasa wa maandishi yaliyopo katika mfumo wa pdf katika kila somo pia yanaweza kupakuliwa bila malipo. Maandishi kwa masomo yote 48 pia yanapatikana bure.

Hatua za upakuaji

Kama unatumia tarakilishi binafsi: Chagua faili unalotaka kupakua na ubonyeze kulia (kwa Mac iliyo na kitufe kimoja kwenye kipanya, kibonyeze kitufe hicho, pamoja na ctrl kwa wakati mmoja) na ubonyeze "Save target as".

Ikiwa unatumia simu aina ya smartphone: Chagua na uhifadhi faili unayotaka kupakua. Baadhi ya OS au aina fulani ya vifaa inaweza kuhitaji program.

Sauti na maandishi ya kila somo