NHK WORLD > Jifunze Kijapani > Mwanzo wa ukurasa wa Kiswahili > Orodha ya Misamiati na Majaribio

Orodha ya Misamiati na Majaribio

Orodha ya Misamiati na Majaribio

Kwenye ukurasa huu, unaweza kujifunza maneno au misemo ambayo imejitokeza kwenye somo. Angalia orodha ya misemo na uangalie maana na matamshi sahihi ya kila neno au misemo. Ukiona umeshajifunza unaweza kupima uelewa wako kwa kujibu jaribio la msamiati.

*Utatoka kwenye tovuti ya NHK.