#17
Kuelezea unachokifanya kwa sasa
Mi Ya anapiga picha Nagano. Anakutana na wanandoa wa Kijapani, na wanaenda kwenye mgahawa wa tambi za soba.
はーい。
Haai.
Sawa.
そば/おそば
soba/osoba
tambi za soba
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
3つ
mittsu
tatu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
お願いする
onegai-suru
omba
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
はい
hai
sawa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
日本
Nihon
Japani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
観光
kankoo
utalii
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ええと
eeto
um
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
私
watashi
mimi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
写真家
shashinka
mpigapicha
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
こと
koto
kitu / jambo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
海外
kaigai
nchi za nje
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
紹介する
shookai-suru
kutambulisha
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
それで
sore de
ndiyo sababu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
旅行する
ryokoo-suru
safiri
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
それ
sore
hivyo / hiyo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
すばらしい
subarashii
vizuri
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
お待たせしました
omatase-shimashita
pole kwa kukusubirisha
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kuelezea unachokifanya kwa sasa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kuelezea kitu unachokifanya kwa sasa, unatumia "[kitenzi cha umbo la TE] + imasu." "Ryokoo-shite imasu" ni umbo la TE la "ryokoo-suru" yaani "kusafiri" ambayo ni "ryokoo-shite" ikifuatiwa na "imasu."
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Ninajifunza Kijapani.
jifunza Kijapani
日本語を勉強する(→勉強して)
Nihongo o benkyoo-suru (→benkyoo-shite)
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Nina- ~.
~ています。
~te imasu.
fanya kazi
仕事をする(→して)
Shigoto o suru (→shite)
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Nina- ~.
~ています。
~te imasu.
fundisha Kiingereza
英語を教える
Eego o oshieru (→oshiete)
Kaito, Mwongozaji wako wa chakula!
Tambi za soba za Kijapani
Soba ni chakula cha kitamaduni cha tambi nchini Japani. Zinatengenezwa kwa unga wa soba, kuchemshwa kwenye maji ya moto. Unaweza kuchovya kwenye mchuzi wa sosi ya soya au kula kwenye bakuli la moto la supu ya ladha isiyo kali.
Mori soba (tambi za soba za baridi na mchuzi)
Kake soba (tambi za soba kwenye bakuli la supu ya moto)
Katika migahawa ya tambi za soba iliyo ndani ya vituo vya treni, abiria wanaweza kupata chakula cha haraka cha tambi za soba kabla ya kupanda treni.
Kibanda cha tambi za soba
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"