#18
Kuelezea mvuto wa ulichokifanya
Mi Ya yuko sebuleni kwenye “Nyumba ya Haru-san,” akiwaelezea Tam na mwenyenyumba roboti Haru-san kuhusu safari yake huko Nagano.
おかえりなさい
okaerinasai
karibu nyumbani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
長野
Nagano

どう
doo
kwa jinsi gani / vipi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
すごく
sugoku
kweli / sana
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
楽しい
tanoshii
‐a kufurahisha
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
写真を撮る
shashin o toru
piga picha
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
たくさん
takusan
nyingi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
それから
sorekara
kisha
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
そば/おそば
soba/osoba
tambi za soba
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
食べる
taberu
kula
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
とても
totemo
sana
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
おいしい
oishii
kitamu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
いい(←よかった)
ii (←yokatta)
nzuri
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
人
hito
mtu / watu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
親切(な)
shinsetsu (na)
‐enye ukarimu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
旅行
ryokoo
safari
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kuelezea mvuto wa ulichokifanya
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kutengeneza sentensi ya wakati uliopita yenye kivumishi cha I, badilisha "i (desu)" ya mwisho kwa kuweka "katta (desu)." Kwa sentensi yenye kivumishi cha NA na nomino, badilisha mwishoni mwa sentensi kutoka "desu" kuwa "deshita."
Wakati uliopita wa Sentensi zenye Vivumishi na Sentensi zenye Nomino
Sio wakati uliopita
Wakati uliopita
Kivumishi cha I
Sio wakati uliopita
楽しいです
Tanoshii desu
Inafurahisha
Wakati uliopita
楽しかったです
Tanoshikatta desu
Ilifurahisha
Kivumishi cha NA
Sio wakati uliopita
親切です
Shinsetsu desu
Ni mkarimu
Wakati uliopita
親切でした
Shinsetsu deshita
Alikuwa mkarimu
Nomino
Sio wakati uliopita
楽しい旅行です
Tanoshii ryokoo desu
Ni safari ya kufurahisha
Wakati uliopita
楽しい旅行でした
Tanoshii ryokoo deshita
Ilikuwa safari ya kufurahisha
* Hata hivyo wakati uliopita wa kivumishi cha I "ii" yaani "nzuri" unanyambulika bila kufuata kanuni ya unyambulishaji na kuwa "yokatta (desu)" yaani "ilikuwa nzuri."
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Ilikuwa safi.
safi
すばらしい
subarashii
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Ilikuwa [kivumishi cha I]/[kivumishi cha NA].
【kivumishi cha I】かったです/【kivumishi cha NA】でした。
【kivumishi cha I】katta desu/【kivumishi cha NA】deshita.
nzuri
きれい(な)
kiree (na)
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Ilikuwa [kivumishi cha I]/[kivumishi cha NA].
【kivumishi cha I】かったです/【kivumishi cha NA】でした。
【kivumishi cha I】katta desu/【kivumishi cha NA】deshita.
kuvutia
おもしろい
omoshiroi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ni salamu kwa mtu aliyerejea nyumbani. Namna ya kirafiki ya salamu hiyo ni "Okaeri" na namna ya kiungwana ni "Okaerinasaimase."
Mwongozo wa safari wa Mi Ya
Treni ziendazo kasi za Shinkansen nchini Japani
Kwa kutumia treni ziendazo kasi za Shinkansen, unaweza kusafiri kuelekea kwenye majiji mengi makubwa kwa muda mfupi tu. Kutoka Tokyo hadi Nagano, inachukua karibu saa moja na nusu, wakati kutoka Tokyo hadi Kyoto, ni takriban saa mbili. Mabehewa hayana kelele na ni safi, kitu kinachofanya safari iwe ya starehe.
Ramani ya njia za Shinkansen (kufikia Sept. 2019)
Shinkansen na Mlima Fuji
Vitu vinavyouzwa kwenye treni
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"