#16
Kuelezea kuvutiwa kwako na kuelezea vitu -- Sehemu 2
Mi Ya yupo katika chemchemi ya majimoto ya mkoani Nagano ambayo ni maarufu kwa nyani wa porini kuoga hapo. Wanandoa wa Kijapani wanaanzisha mazungumzo naye.
わあ
waa
wow
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
猿
saru
nyani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
いっぱい
ippai
wengi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
たくさん
takusan
nyingi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
写真を撮る
shashin o toru
piga picha
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
はい
hai
ndiyo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ここ
koko
sehemu hii
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
海外
kaigai
nchi za nje
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
有名(な)
yuumee (na)
maarufu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
温泉
onsen
chemchemi ya majimoto
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
へえ
hee
oh
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
そうなんだ
soo nan da
kumbe
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
温泉に入る
onsen ni hairu
oga kwenye chemchemi ya majimoto
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
珍しい
mezurashii
nadra
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
赤ちゃん
akachan
mtoto (mchanga)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
かわいい
kawaii
mzuri
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kuelezea kuvutiwa kwako na kuelezea vitu -- Sehemu 2
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Vivumishi vya NA ni vivumishi vinavyoishia na "na" wakati vikiivumisha nomino. Sentensi inaweza kutungwa kwa kuwekwa kivumishi cha umbo la NA mwishoni. Badilisha "na" kwa "desu." ("Yuumee desu" yaani "Ni maarufu.")
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Ni sehemu tulivu.
tulivu | sehemu
静か(な) | 場所
shizuka (na) | basho
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Ni ~ [kivumishi cha NA], sivyo?
【kivumishi cha NA】~ですね。
【kivumishi cha NA】 ~ desu ne.
mazuri | mandhari
きれい(な)| 景色
kiree (na) | keshiki
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Ni ~ [kivumishi cha NA], sivyo?
【kivumishi cha NA】~ですね。
【kivumishi cha NA】 ~ desu ne.
zuri | jengo
立派(な) | 建物
rippa (na) | tatemono
Usemi huo unatumika kuonesha hisia ya kuvutiwa/kushangazwa na kile alichokisema mtu.
Mwongozo wa safari wa Mi Ya
Chemchemi za majimoto nchini Japani
Japani ina chemchemi za majimoto kote nchini kwa sababu ina milima mingi ya volkano. Rangi, harufu na ulaini wa maji hutofautiana kutoka sehemu moja hadi nyingine. Chemchemi za majimoto ni tiba, kwa mfano zinaweza kukusaidia kuondoa uchovu. Watu wengi hukaa kwenye hoteli zenye chemchemi ya majimoto na familia au marafiki ili kupata kupumzika kwa kukaa kwenye maji hayo kwa muda mrefu na kufurahia chakula.
(1) Nyuto Onsenkyo (Mkoani Akita)
(2) Kusatsu Onsen (Mkoani Gunma)
(3) Beppu Onsen (Mkoani Oita)
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"