Orodha ya Misamiati na Majaribio
Somo la 45
ほんの気持ち [HONNO KIMOCHI]
kitu kidogo kwa ajili yako
Mara nyingi HONNO KIMOCHI DESU hutumika wakati unapompa mtu zawadi. Unasema hivi ukiwa na matumaini ya kuwasilisha hisia zako kwa unyenyekevu kwa yule unayempatia zawadi.
Maneno na semi katika somo
みんな | アンナ、お誕生日おめでとう。 | Anna, heri ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa!
|
---|---|---|
Wote | ANNA, OTANJÔBI OMEDETÔ.
Anna, heri ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa!
|
|
健太 | これ、ほんの気持ちです。 | Hiki ni kitu kidogo kwa ajili yako.
|
Kenta | KORE, HONNO KIMOCHI DESU.
Hiki ni kitu kidogo kwa ajili yako.
|
|
アンナ | どうもありがとうございます。 | Nakushukuru sana.
|
Anna | DÔMO ARIGATÔ GOZAIMASU.
Nakushukuru sana.
|
|
さくら | 何をもらったの? | Umepewa nini?
|
Sakura | NANI O MORATTA NO?
Umepewa nini?
|
|
アンナ | 開けてもいいですか。 | Ninaweza kufungua?
|
Anna | AKETE MO II DESU KA.
Ninaweza kufungua?
|