Nyenzo za kujifunzia
Vitenzi vya umbo la kutendewa (Somo la 23)
Umbo la MASU | Umbo la kutendewa |
---|---|
TSUKAIMASU (kutumia) |
TSUKAWAREMASU |
MACHIMASU (kusubiri) |
MATAREMASU |
ATSUMARIMASU (kukusanyika) |
ATSUMARAREMASU |
YOMIMASU (kusoma) |
YOMAREMASU |
KAKIMASU (kuandika) |
KAKAREMASU |
ISOGIMASU (kufanya haraka) |
ISOGAREMASU |
IKIMASU (kwenda) |
IKAREMASU |
TABEMASU (kula) |
TABERAREMASU |
OBOEMASU (kukumbuka) |
OBOERAREMASU |
IMASU (kuwepo) |
IRAREMASU |
MIMASU (kuona) |
MIRAREMASU |
KIMASU (kuja) |
KORAREMASU |
SHIMASU (kufanya) |
SAREMASU |
Tuna maelezo ya kina kuhusu kinachoendelea katika masomo ya sauti. Tafadhali nenda kwenye ukurasa wa masomo kwa kubofya kitufe cha chini, na usikilize somo hilo la dakika 10 katika ukurasa huo.