#15
Kumwambia dereva wa teksi mahali unakoelekea
Mi Ya, mpigapicha kutoka China, amefika kwenye mkoa wa Nagano uliopo Japani ili kupiga picha katika chemchemi ya majimoto. Amejaribu kupanda teksi kuelekea kwenye bustani inayoitwa Jigokudani Yaen Koen.
どちら
dochira
wapi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
猿
saru
nyani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
温泉
onsen
chemchemi ya majimoto
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
お願いする
onegai-suru
omba
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
はい
hai
ndiyo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
わかる
wakaru
elewa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
こちら
kochira
hapa (kiungwana)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
初めて
hajimete
mara ya kwanza
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
写真を撮る
shashin o toru
piga picha
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
行く
iku
kwenda
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
そうですか
soo desu ka
hivyo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
今日
kyoo
leo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
寒い
samui
baridi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
たくさん
takusan
wengi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
温泉に入る
onsen ni hairu
oga kwenye chemchemi ya maji moto
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kumwambia dereva wa teksi mahali unakoelekea
猿の温泉までお願いします。
Saru no onsen made onegai-shimasu.
Naelekea chemchemi ya majimoto ya nyani, tafadhali.
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kumwambia dereva wa teksi mahali unakoelekea, sema "[mahali] made onegai-shimasu." "Made" ni kiunganishi kinachomaanisha "hadi/kuelekea" na kinaonesha mahali unakoelekea. "Onegai-shimasu" ni umbo la MASU la kitenzi "onegai-suru" yaani "tafadhali/kuomba." Inaweza kutumika wakati wa kutoa ombi.
Jinsi ya kuuliza mwelekeo:
Ukiingia kwenye teksi, dereva atakuuliza "Dochira made (desu ka)" yaani "unaelekea wapi." Hivyo, kumbuka usemi huu. "Dochira" ni namna ya kiungwana ya kusema "doko" yaani "wapi." Hivi ndivyo madereva wa teksi wanavyowauliza abiria.
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Naelekea Tokyo Skytree, tafadhali.
Tokyo Skytree
東京スカイツリー
Tookyoo Sukai-tsurii
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Naelekea ~, tafadhali.
~までお願いします。
~made onegai-shimasu.
hoteli hii
このホテル
kono hoteru
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Naelekea ~, tafadhali.
~までお願いします。
~made onegai-shimasu.
kituo cha Yokohama
横浜駅
Yokohama-eki
Jifunze zaidi
Ushauri wa Haru-san
Teksi nchini Japani
Viwanja vingi vya ndege, vituo vya treni, hoteli na maeneo ya kitalii yana vituo vya teksi. Mlango wa nyuma wa abiria hufunga na kujifungua wenyewe. Dereva atafungua na kufunga kwa kutumia rimoti. Nauli huonekana kwenye mita. Hakuna haja ya kutoa bahashishi.
Alama ya kielektroniki kwenye kioo cha mbele itaonesha herufi za Kanji zenye maana ya "inapatikana." Wakati wa usiku, kama taa kwenye kibango kilicho juu ya bodi ya teksi itawaka, hiyo inamaanisha teksi haina mteja.
Alama ya "inapatikana"
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"