#9
Kuulizia vitu usivyovijua
Tam kutoka Vietnamu amefika kwenye duka la vyakula vilivyo tayari kuliwa lililopo chini ya ardhi kwenye jengo lenye maduka makubwa, linaloitwa "depa-chika," akiwa na Kaito mpangaji mwenzake pamoja na rafiki yake Mmarekani, Mike.
ここ
koko
hapa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
デパ地下
depa-chika
duka la chakula, chini ya ardhi ya maduka makubwa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
いろんな
ironna
mbalimbali
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
食べ物
tabemono
chakula
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ある
aru
ipo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
いい
ii
nzuri
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
わあ
waa
wow
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
すごい
sugoi
inastaajabisha
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
これ
kore
hii
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
何
nan
nini
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
大根
daikon
figili ya daikon
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
漬け物
tsukemono
achali ya mbogamboga
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
食べる
taberu
kula
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
いただきます
itadakimasu
nitaonja
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
おいしい
oishii
tamu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kuulizia vitu usivyovijua
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kuulizia jina la kitu, oneshea kidole kitu hicho na useme "Kore/Sore/Are wa nan desu ka." Kwa kitu kilicho karibu yako, tumia "kore." Kwa kitu kilicho karibu na mtu unayezungumza naye, tumia "sore." Ikiwa kitu kipo mbali yenu nyote wawili, tumia "are." "Nan" ni kiulizi kina maana ya "nini."
"Nan/Nani" (Nini):
Neno "nan" kwenye sentensi "nan desu ka" au "ni nini" lina maana sawa na "nani" likiwa katika sentensi "nani o shimasu ka" yaani "utafanya nini?" Lakini hutamkwa "nan" linapofuatiwa na "desu ka."
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Hiyo ni nini?
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Hii | hiyo | ile ni nini?
これ/それ/あれ は何ですか。
Kore/Sore/Are wa nan desu ka.
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Hii | hiyo | ile ni nini?
これ/それ/あれ は何ですか。
Kore/Sore/Are wa nan desu ka.
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Pia unaweza kusema "Oishii!" Jaribu kusema hivyo ukila kitu kitamu nchini Japani.
Kaito, Mwongozaji wako wa chakula!
"Depa-chika": Hazina ya chakula
"Depa-chika," duka la vyakula vilivyo tayari kuliwa lililopo chini ya ardhi kwenye jengo lenye maduka makubwa huuza aina mbalimbali za vyakula, kama vile vyakula vilivyo tayari kuliwa, chakula kilichofungashwa, vitindamlo na mikate. Unaweza kuonja baadhi ya vyakula. "Depa-chika" ina manufaa sana kwa sababu unaweza kununua vyakula unavyovipenda na kuvila nyumbani au hotelini.
"Depa-chika," duka la vyakula ambavyo tayari vimepikwa lililo kwenye jengo lenye maduka makubwa chini ya ardhi
Achali ya mbogamboga
Vyakula vilivyo tayari kuliwa
Mkate na jibini
Vitamutamu
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"