#10
Kuulizia bei ya vitu
Tam, amefika kwenye duka la vifaa vya kielektroniki na rafiki yake Ayaka. Tam anataka kununua kikausha nywele.
たくさん
takusan
vingi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ある
aru
ipo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
すごい
sugoi
inastaajabisha
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
これ
kore
hii
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
サラサラ
sarasara
laini kama hariri
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ヘア
hea
nywele
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ツヤ
tsuya
mng'ao
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
出る
deru
onekana
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
タイプ
taipu
aina
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
へえ
hee
ooh
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
いくら
ikura
bei gani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
セール
seeru
punguzo la bei
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
書く
kaku
andika
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
きく
kiku
uliza
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
すみません
sumimasen
samahani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
この
kono
hiki
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ドライヤー
doraiyaa
kikausha nywele
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
9,900円
kyuusen-kyuuhyaku-en
yeni 9,900
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
高すぎる
takasugiru
ni ghali mno
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kuulizia bei ya vitu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Unapoulizia gharama za vitu, sema "ikura desu ka" yaani "Ni bei gani?" Unapotaja jina la kitu hicho, sema "Kono/Sono/Ano [kitu] wa ikura desu ka." "Ikura" ni kiulizi kinachomaanisha "bei gani?"
"Kono/Sono/Ano":
"Kono/sono/ano" ni muundo unaotumika wakati unaoneshea kitu/vitu. Muundo huo umetokana na maneno "kore/sore/are" ambayo ulijifunza katika somo la 9. Maneno hayo hufafanua nomino. Huwekwa kabla ya nomino ambazo hufafanuliwa.
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Samahani. Ile earphone ni bei gani?
"earphone"
イヤホン
iyahon
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Samahani. Hii | hiyo | ile ~ ni bei gani?
すみません。この/その/あの ~はいくらですか。
Sumimasen. Kono/Sono/Ano ~wa ikura desu ka.
bakuli la wali
茶碗
chawan
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Samahani. Hii | hiyo | ile ~ ni bei gani?
すみません。この/その/あの ~はいくらですか。
Sumimasen. Kono/Sono/Ano ~wa ikura desu ka.
mchoro
絵
e
Jifunze zaidi
Ushauri wa Haru-san
Fedha za Japani
Japani ina aina nne za fedha za noti: Noti ya yeni 1,000, 2,000, 5,000, na 10,000. Lakini ni nadra sana kuiona noti ya yeni 2,000.
Noti za Japani
Kwa upande wa sarafu kuna aina sita: Yeni 1, 5, 10, 50, 100, na 500. Japani ni nchi ambayo mashine ya kuuzia vitu yaani 'vending machine' zipo nyingi mno mitaani. Lakini huwezi kutumia sarafu ya yeni 1 au yeni 5 kwenye mashine hizo. Hivyo kuwa mwangalifu.
Sarafu za Japani
Itifaki nzuri unapotoa fedha taslimu kama zawadi kwa wanandoa kwenye harusi au kwenye sherehe zingine ni kuweka noti mpya kwenye bahasha ambazo ni mahususi kwa sherehe husika.
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"