Orodha ya Misamiati na Majaribio
Somo la 37
旅行 [RYOKÔ]
safari
Maneno na semi katika somo
寮母 | 旅行はどうだった? | Safari yako ilikuwaje?
|
---|---|---|
Msimamizi wa bweni | RYOKÔ WA DÔ DATTA?
Safari yako ilikuwaje?
|
|
アンナ | 富士山を見たり、おすしを食べたりしました。楽しかったです。 | Niliona mlima Fuji, nikala sushi, na kadhalika. Nilifurahia.
|
Anna | FUJISAN O MITARI, OSUSHI O TABETARI SHIMASHITA. TANOSHIKATTA DESU. Niliona mlima Fuji, nikala sushi, na kadhalika. Nilifurahia.
|
|
寮母 | それはよかったわね。 | Ilikuwa nzuri.
|
Msimamizi wa bweni | SORE WA YOKATTA WA NE.
Ilikuwa nzuri.
|