NHK WORLD > Jifunze Kijapani > Mwanzo wa ukurasa wa Kiswahili > Orodha ya Misamiati na Majaribio > Orodha ya Misamiati

Orodha ya Misamiati na Majaribio

Somo la 46

後で [ATO DE]

baada ya_
Unaitumia unapotaka kusisitiza kuhusu unachofanya au ulichofanya, baada ya kufanya jambo lingine. Unatumia umbo la TA la kitenzi kabla ya ATO DE.

Maneno na semi katika somo

アンナ もしかして、雪? Hii ni theluji, au?
Anna MOSHIKASHITE, YUKI?
Hii ni theluji, au?
健太 これは、粉雪。
粉のようにさらさらしているでしょ。
Hii ni theluji ya ungaunga.
Ni nyepesi, kavu na laini kama unga, au siyo?
Kenta KORE WA, KONAYUKI.
KONA NO YÔ NI SARASARA SHITEIRU DESHO.
Hii ni theluji ya ungaunga. Ni nyepesi, kavu na laini kama unga, au siyo?
アンナ 帰国する前に、雪を見ることができて幸せです。 Nimefurahi kuona theluji, kabla ya kurejea nchini kwangu.
Anna KIKOKU SURU MAE NI, YUKI O MIRU KOTO GA DEKITE SHIAWASE DESU.
Nimefurahi kuona theluji, kabla ya kurejea nchini kwangu.
*Utatoka kwenye tovuti ya NHK.