NHK WORLD > Jifunze Kijapani > Mwanzo wa ukurasa wa Kiswahili > Orodha ya Misamiati na Majaribio > Orodha ya Misamiati

Orodha ya Misamiati na Majaribio

Somo la 33

くれます [KUREMASU]

kumpatia (*kutoka mtazamo wa anayepokea)
Ikiwa mtu fulani atakupatia kitu, tumia neno KUREMASU.
Pia unalitumia, ikiwa mtu uliye karibu naye, kama vile mtu wa familia, atapewa kitu na mwingine.

Maneno na semi katika somo

健太 これは、僕が富士山で撮った写真です。 Hii ni picha niliyopiga nikiwa mlima Fuji.
Kenta KORE WA, BOKU GA FUJISAN DE TOTTA SHASHIN DESU.
Hii ni picha niliyopiga nikiwa mlima Fuji.
アンナ あっ、私だ。 Oh, yule ni mimi.
Anna A', WATASHI DA.
Oh, yule ni mimi.
健太 驚いた?
あとで、アンナさんにあげます。
Umeshangaa?
Anna, nitakupatia baadaye.
Kenta ODOROITA?
ATODE, ANNA-SAN NI AGEMASU.
Umeshangaa? Anna, nitakupatia baadaye.
アンナ 写真をくれるんですか。うれしいです。 Utanipatia picha? Nitafurahi.
Anna SHASHIN O KURERU N DESU KA? URESHII DESU.
Utanipatia picha? Nitafurahi.
*Utatoka kwenye tovuti ya NHK.