NHK WORLD > Jifunze Kijapani > Mwanzo wa ukurasa wa Kiswahili > Orodha ya Misamiati na Majaribio > Orodha ya Misamiati

Orodha ya Misamiati na Majaribio

Somo la 28

詳しい [KUWASHII]

kufahamu mengi

Maneno na semi katika somo

さくら こちらは、いとこの健太くん。 Huyu ni binamu yangu, Kenta.
Sakura KOCHIRA WA, ITOKO NO KENTA-KUN.
Huyu ni binamu yangu, Kenta.
健太 静岡へようこそ。 Karibu Shizuoka.
Kenta SHIZUOKA E YÔKOSO.
Karibu Shizuoka.
さくら 彼はカメラに詳しいから、いろいろきいてね。 Anafahamu mengi kuhusu kamera, kwa hiyo muulize lolote kuhusu kamera.
Sakura KARE WA KAMERA NI KUWASHII KARA, IROIRO KIITE NE.
Anafahamu mengi kuhusu kamera, kwa hiyo muulize lolote kuhusu kamera.
アンナ どうぞよろしくお願いします。 Nitashukuru kwa msaada wako.
Anna DÔZO YOROSHIKU ONEGAI SHIMASU.
Nitashukuru kwa msaada wako.
健太 (アンナちゃん、かわいいなあ) (Anna anapendeza.)
Kenta (ANNA-CHAN, KAWAII NÂ.)
(Anna anapendeza.)
*Utatoka kwenye tovuti ya NHK.