NHK WORLD > Jifunze Kijapani > Mwanzo wa ukurasa wa Kiswahili > Orodha ya Misamiati na Majaribio > Orodha ya Misamiati

Orodha ya Misamiati na Majaribio

Somo la 1

はじめまして [HAJIMEMASHITE]

Nashukuru kukutana nawe.
Huo ni usemi unaousema unapokutana na mtu kwa mara ya kwanza. Iwapo mtu atakuambia HAJIMEMASHITE, pia nawe utajibu vivyo hivyo, HAJIMEMASHITE.

Maneno na semi katika somo

アンナ はじめまして。私はアンナです。 Nashukuru kukutana nawe.
Mimi ni Anna.
Anna HAJIMEMASHITE.
WATASHI WA ANNA DESU.
Nashukuru kukutana nawe. Mimi ni Anna.
さくら はじめまして。さくらです。 Nami pia.
Mimi ni Sakura.
Sakura HAJIMEMASHITE.
SAKURA DESU.
Nami pia. Mimi ni Sakura.
アンナ よろしくお願いします。 Tuendelee kuwa na uhusiano mwema kuanzia sasa.
Anna YOROSHIKU ONEGAI SHIMASU.
Tuendelee kuwa na uhusiano mwema kuanzia sasa.
さくら こちらこそ。 Ni mimi ninayestahili kusema hivyo.
Sakura KOCHIRAKOSO.
Ni mimi ninayestahili kusema hivyo.
*Utatoka kwenye tovuti ya NHK.