#11
Kumuuliza mtu ikiwa ana kitu unachokihitaji
Tam amefika Asakusa jijini Tokyo na Mi Ya, mpigapicha kutoka China. Wawili hao wanazunguka zunguka katika maduka ya zawadi kwenye barabara ya "Nakamise."
この
kono
hii
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tシャツ
tii-shatsu
fulana
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
見る
miru
tazama
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
忍者
ninja

書く
kaku
andika
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
わあ
waa
wow
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
いらっしゃいませ
irasshaimase
karibuni
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
すみません
sumimasen
samahani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
お守り
omamori
hirizi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ある
aru
ipo / zipo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ちょっと
chotto
aah / kidogo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ここ
koko
hapa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
寺/お寺
tera/otera
hekalu la kibuddha
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
行く
iku
kwenda
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kumuuliza mtu ikiwa ana kitu unachokihitaji
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ukitaka kuuliza ikiwa duka lina kitu unachokitafuta, sema "[kitu] wa arimasu ka." "Wa" ni kiunganishi cha mada. "Arimasu" ni kitenzi cha umbo la MASU kilichotokana na kitenzi "aru" ambacho kinaonesha uwepo wa kitu.
Kusema kitu hakipo:
"Arimasen" ni kitenzi cha umbo la kukanusha ikiwa kitu hakipo. Lakini wahudumu wa maduka nyakati fulani wanaepuka kusema hivyo moja kwa moja kwa wateja wao. Badala yake, jibu litakuwa kidogo tata, kama hivi "chotto..." au kuomba radhi, "sumimasen..." ikimaanisha "samahani."
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Samahani. Kuna kipepeleo cha kukunjika?
kipepeleo cha kukunjika
扇子
sensu
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Samahani. Kuna ~?
すみません。~はありますか。
Sumimasen. ~wa arimasu ka.
fulana ya ninja
忍者のTシャツ
ninja no tii-shatsu
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Samahani. Kuna ~?
すみません。~はありますか。
Sumimasen. ~wa arimasu ka.
kipeperushi cha Kiingereza
英語のパンフレット
Eego no panfuretto
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ni salamu ya kukaribisha wateja wanapoingia dukani au migahawani.
Mwongozo wa safari wa Mi Ya
Tuzunguke mitaa ya Asakusa!
Asakusa ni eneo maarufu la kitalii jijini Tokyo. Lango la Kaminarimon, lenye kandili kubwa ya rangi nyekundu ambayo hupaswi kukosa kuiona, ni sehemu ya kuingilia katika Hekalu la Sensoji. Barabara ya Nakamise imejitandaza kutokea hapo.
Lango la Kaminarimon
Ukumbi Mkuu wa Hekalu la Sensoji
Maduka mengi yanayouza bidhaa za zawadi, vitamutamu na vitu vingine, yamejipanga kila pande za barabara hiyo. Mwishoni mwa barabara hiyo ni ukumbi mkuu wa hekalu hilo.
Barabara ya Nakamise
Ningyo-yaki, ama keki yenye umbo la mwanasesere
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"