Linki ya Masomo
Bofya hapa kwa masomo yote 48 na jifunze mazungumzo ya msingi ya Kijapani. Fahamu salamu za kila siku na semi za safari. Pia masomo yanajumuisha dondoo za utalii na za utamaduni.
Jinsi ya kutumia tovuti hii
Tovuti hii ina nyenzo timilifu zikiwemo sauti, picha jongevu na maandishi, vyote hivyo vikikusaidia kujifunza Kijapani kuanzia ngazi ya msingi kabisa. Tovuti ina jumla ya msomo 48. Tazama namna ya kutumia tovuti hii.
Haru-san WanguFuatilia rekodi ya kujifunza kwako
Pima maendeleo yako katika ukurasa wako binafsi wa Haru-san Wangu. Pitia chemshabongo zako pia, na sajili maneno na semi unazotaka kukumbuka.
Kurasa za Kupakua
Sauti za masomo za MP3 na maandishi ya PDF yanaweza kupakuliwa bure (kwa matumizi binafsi pekee).
Tutajibu Maswali Yenu
Wasimamizi wa kipindi Fujinaga Kaoru na Isomura Kazuhiro wanajibu maswali ya wasikilizaji kuhusu lugha ya Kijapani.
Chagua somo
Herufi za Kijapani
Mazungumzo
Semi za Msingi
Mazoezi
Msamiati
Utamaduni