#45 Unaweza kuangalia usahihi wa Kijapani?

Kumwomba mtu kiungwana afanye kitu, tumia kitenzi cha umbo la "te" mfano "chekku-shite" (kuangalia usahihi) kisha "moraemasen ka." "Nihongo o chekku-shite moraemasen ka" inamaanisha "Unaweza kuangalia usahihi wa Kijapani?"

Transcript