Ili kumwambia mtu ulichokisikia kwa mtu mwingine, tumia vitenzi au vivumishi bila "masu" au "desu," kisha ongeza "soo desu." "Mata konsaato ga aru soo desu" inamaanisha "Nimesikia onyesho lingine litafanyika."