#19 Nahitaji jozi ya glavu.

Ili kumwambia mhudumu wa duka unachokitaka, weka tu "ga hoshiin desu ga" baada ya jina la kitu. Ikiwa unahitaji jozi ya glavu, sema "tebukuro ga hoshiini desu ga."

Transcript