Jifunze namna ya kusema unakotokea. Kanuni ni jina la sehemu, kisha "kara kimashita." "Ninatokea Vietnamu" itakuwa "betonamu kara kimashita."