Orodha ya Misamiati na Majaribio
Somo la 9
時 [JI]
muda/saa
KUJI ni "saa tatu." "Saa kumi" ni YOJI.
Maneno na semi katika somo
先生 | 明日、健康診断があります。 | Kesho, kuna uchunguzi wa afya.
|
---|---|---|
Mwalimu | ASHITA, KENKÔSHINDAN GA ARIMASU.
Kesho, kuna uchunguzi wa afya.
|
|
アンナ | 何時からですか。 | Kuanzia saa ngapi?
|
Anna | NANJI KARA DESU KA.
Kuanzia saa ngapi?
|
|
先生 | 午前9時から11時までです。 ここに8時半に集まって下さい。 |
Kuanzia saa tatu hadi saa tano asubuhi. Tafadhali tukusanyike hapa saa mbili na nusu. |
Mwalimu | GOZEN KUJI KARA JÛICHIJI MADE DESU. KOKO NI HACHIJI HAN NI ATSUMATTE KUDASAI.
Kuanzia saa tatu hadi saa tano asubuhi.
Tafadhali tukusanyike hapa saa mbili na nusu. |