Orodha ya Misamiati na Majaribio
Somo la 6
何番 [NANBAN]
namba ipi
NAN ni namna ya kuuliza swali, yaani “nini,” na BAN ni kiambishi cha kuhesabu namba. Kwa hiyo ukiyaweka pamoja na useme NAN BAN, utakuwa unauliza namba hiyo ni ipi.
Maneno na semi katika somo
さくら | ところでアンナさん。 電話番号は何番ですか。 |
Anna, licha ya hivyo, namba yako ya simu ni ipi?
|
---|---|---|
Sakura | TOKORODE ANNA-SAN. DENWABANGÔ WA NANBAN DESU KA.
Anna, licha ya hivyo, namba yako ya simu ni ipi?
|
|
アンナ | ええと。080-1234-・・・。 | Ee.... 080 – 1234 – ....
|
Anna | ÊTO. REI HACHI REI - ICHI NI SAN YON - ...
Ee.... 080 – 1234 – ....
|
|
さくら | ありがとう。 じゃ、今度、電話をしますね。 |
Asante. Basi, nitakupigia wakati mwingine.
|
Sakura | ARIGATÔ. JA, KONDO, DENWA O SHIMASU NE.
Asante. Basi, nitakupigia wakati mwingine.
|