NHK WORLD > Jifunze Kijapani > Mwanzo wa ukurasa wa Kiswahili > Orodha ya Misamiati na Majaribio > Orodha ya Misamiati

Orodha ya Misamiati na Majaribio

Somo la 43

なぜ [NAZE]

kwa nini
Ni namna ya kiungwana ya kusema DÔSHITE.

Maneno na semi katika somo

先生 姫路城は奇跡の城と言われています。
どうしてでしょうか。
Kasri la Himeji linasemekana kuwa ni la ajabu.
Unadhani ni kwa nini?
Mwalimu HIMEJI-JÔ WA KISEKI NO SHIRO TO IWARETE IMASU.
DÔSHITE DESHÔ KA.
Kasri la Himeji linasemekana kuwa ni la ajabu. Unadhani ni kwa nini?
ロドリゴ 戦争でも焼けなかったからです。 Kwa sababu halikuwahi kuunguzwa hata wakati wa vita.
Rodrigo SENSÔ DEMO YAKENAKATTA KARA DESU.
Kwa sababu halikuwahi kuunguzwa hata wakati wa vita.
アンナ さすが、ロドリゴ! Hongera, Rodrigo!
Anna SASUGA, RODORIGO!
Hongera, Rodrigo!
*Utatoka kwenye tovuti ya NHK.