NHK WORLD > Jifunze Kijapani > Mwanzo wa ukurasa wa Kiswahili > Orodha ya Misamiati na Majaribio > Orodha ya Misamiati

Orodha ya Misamiati na Majaribio

Somo la 40

ずきずきします [ZUKIZUKI SHIMASU]

kuuma
ZUKIZUKI ni tanakali sauti. Unaweza kuitumia unapoumwa na kichwa, na kuhisi kinagonga.Unaweza kulitumia ikiwa unahisi maumivu ya meno au majeraha.

Maneno na semi katika somo

寮母 おかゆですよ。
体調は、どう?
Huu ni uji wa mchele.
Unajisikiaje?
Msimamizi wa bweni OKAYU DESU YO.
TAICHÔ WA, DÔ?
Huu ni uji wa mchele. Unajisikiaje?
アンナ 頭がずきずきします。 Kichwa kinauma.
Anna ATAMA GA ZUKIZUKI SHIMASU.
Kichwa kinauma.
寮母 そう。欲しいものがあったら、言ってね。 Kumbe. Ikiwa kuna kitu unataka, niambie.
Msimamizi wa bweni SÔ. HOSHII MONO GA ATTARA, ITTE NE.
Kumbe. Ikiwa kuna kitu unataka, niambie.
*Utatoka kwenye tovuti ya NHK.