NHK WORLD > Jifunze Kijapani > Mwanzo wa ukurasa wa Kiswahili > Orodha ya Misamiati na Majaribio > Orodha ya Misamiati

Orodha ya Misamiati na Majaribio

Somo la 37

それはよかったね [SORE WA YOKATTA NE]

Ilikuwa nzuri / Nimefurahi kusikia hivyo
Wanawake pia wanaweza kusema SORE WA YOKATTA WA NE. WA iliyopo kwenye "WA NE" hutumiwa na wanawake kuonyesha huruma.

Maneno na semi katika somo

寮母 旅行はどうだった? Safari yako ilikuwaje?
Msimamizi wa bweni RYOKÔ WA DÔ DATTA?
Safari yako ilikuwaje?
アンナ 富士山を見たり、おすしを食べたりしました。楽しかったです。 Niliona mlima Fuji, nikala sushi, na kadhalika. Nilifurahia.
Anna FUJISAN O MITARI, OSUSHI O TABETARI SHIMASHITA.
TANOSHIKATTA DESU.
Niliona mlima Fuji, nikala sushi, na kadhalika. Nilifurahia.
寮母 それはよかったわね。 Ilikuwa nzuri.
Msimamizi wa bweni SORE WA YOKATTA WA NE.
Ilikuwa nzuri.
*Utatoka kwenye tovuti ya NHK.