NHK WORLD > Jifunze Kijapani > Mwanzo wa ukurasa wa Kiswahili > Orodha ya Misamiati na Majaribio > Orodha ya Misamiati

Orodha ya Misamiati na Majaribio

Somo la 36

[AKI]

msimu wa pukutizi

Maneno na semi katika somo

健太 寂しくなります。 Nitakuwa mpweke.
Kenta SABISHIKU NARIMASU.
Nitakuwa mpweke.
アンナ 私もです。
でも、大学で勉強しなければなりません。
Nami pia.
Lakini napaswa kusoma katika chuo kikuu changu.
Anna WATASHI MO DESU.
DEMO, DAIGAKU DE BENKYÔ SHINAKEREBA NARIMASEN.
Nami pia. Lakini napaswa kusoma katika chuo kikuu changu.
健太 じゃ、僕が春休みに東京に行きます。 Kisha, nitaenda Tokyo wakati wa mapumziko ya msimu wa chipukizi.
Kenta JA, BOKU GA HARUYASUMI NI TÔKYÔ NI IKIMASU.
Kisha, nitaenda Tokyo wakati wa mapumziko ya msimu wa chipukizi.
*Utatoka kwenye tovuti ya NHK.