NHK WORLD > Jifunze Kijapani > Mwanzo wa ukurasa wa Kiswahili > Orodha ya Misamiati na Majaribio > Orodha ya Misamiati

Orodha ya Misamiati na Majaribio

Somo la 35

クレジットカード [KUREJITTO KÂDO]

kadi ya kufanyia manunuzi
Ni neno linalotokana na maneno ya Kiingereza "credit card."

Maneno na semi katika somo

健太 お勘定をお願いします。 Naweza kupata bili yangu, tafadhali?
Kenta OKANJÔ O ONEGAI SHIMASU.
Naweza kupata bili yangu, tafadhali?
店員 全部で5200円です。 Kwa jumla, ni yeni 5,200.
Muuzaji ZENBU DE GOSEN NIHYAKU EN DESU.
Kwa jumla, ni yeni 5,200.
健太 クレジットカードは使えますか。 Naweza kutumia kadi ya kufanyia manunuzi?
Kenta KUREJITTO KÂDO WA TSUKAEMASU KA.
Naweza kutumia kadi ya kufanyia manunuzi?
店員 はい、使えます。 Ndiyo, unaweza kutumia.
Muuzaji HAI, TSUKAEMASU.
Ndiyo, unaweza kutumia.
*Utatoka kwenye tovuti ya NHK.