NHK WORLD > Jifunze Kijapani > Mwanzo wa ukurasa wa Kiswahili > Orodha ya Misamiati na Majaribio > Orodha ya Misamiati

Orodha ya Misamiati na Majaribio

Somo la 34

おなか [ONAKA]

tumbo

Maneno na semi katika somo

健太 あっ、トロが来た。 Oh, toro zimekuja.
Kenta A', TORO GA KITA.
Oh, toro zimekuja.
アンナ トロって何ですか。 Toro ni nini?
Anna TORO TTE NAN DESU KA.
Toro ni nini?
健太 マグロのおなかの部分です。どうぞ。 Ni mnofu wa sehemu ya tumbo wa samaki tuna. Karibu.
Kenta MAGURO NO ONAKA NO BUBUN DESU. DÔZO.
Ni mnofu wa sehemu ya tumbo wa samaki tuna. Karibu.
アンナ いただきます。
やわらかくておいしいです。
Nianze kula.
Ni laini na mtamu.
Anna ITADAKIMASU.
YAWARAKAKUTE OISHII DESU.
Nianze kula. Ni laini na mtamu.
*Utatoka kwenye tovuti ya NHK.