Orodha ya Misamiati na Majaribio
Somo la 2
何人ですか [NANNIN DESU KA]
Kuna watu wangapi?
Unaweza kuuliza kuna watu wangapi, kwa kusema NAN (nini) pamoja na NIN, ambayo inamaanisha idadi ya watu na useme NAN NIN DESU KA.
Maneno na semi katika somo
アンナ | さくらさん。はい、どうぞ。 | Sakura. Hii ni kwa ajili yako.
|
---|---|---|
Anna | SAKURA-SAN. HAI, DÔZO.
Sakura. Hii ni kwa ajili yako.
|
|
さくら | これは何ですか。 | Hii ni nini?
|
Sakura | KORE WA NAN DESU KA.
Hii ni nini?
|
|
アンナ | それはタイのお土産です。 | Hiyo ni zawadi kutoka Thailand.
|
Anna | SORE WA TAI NO OMIYAGE DESU.
Hiyo ni zawadi kutoka Thailand.
|
|
さくら | ありがとうございます。 | Asante sana.
|
Sakura | ARIGATÔ GOZAIMASU.
Asante sana.
|
|
アンナ | どういたしまして。 | Karibu.
|
Anna | DÔITASHIMASHITE.
Karibu.
|