Orodha ya Misamiati na Majaribio
Somo la 2
何ですか [NAN DESU KA]
... ni nini?
NAN inamaanisha "nini." NAN na DESU kwa pamoja zinakuwa taarifa juu ya kiima. Ukiongeza KA mwisho wa sentensi, na uitamke sentensi hiyo kwa toni ya juu, utakuwa unauliza swali.
Maneno na semi katika somo
アンナ | さくらさん。はい、どうぞ。 | Sakura. Hii ni kwa ajili yako.
|
---|---|---|
Anna | SAKURA-SAN. HAI, DÔZO.
Sakura. Hii ni kwa ajili yako.
|
|
さくら | これは何ですか。 | Hii ni nini?
|
Sakura | KORE WA NAN DESU KA.
Hii ni nini?
|
|
アンナ | それはタイのお土産です。 | Hiyo ni zawadi kutoka Thailand.
|
Anna | SORE WA TAI NO OMIYAGE DESU.
Hiyo ni zawadi kutoka Thailand.
|
|
さくら | ありがとうございます。 | Asante sana.
|
Sakura | ARIGATÔ GOZAIMASU.
Asante sana.
|
|
アンナ | どういたしまして。 | Karibu.
|
Anna | DÔITASHIMASHITE.
Karibu.
|