Orodha ya Misamiati na Majaribio
Somo la 29
富士山 [FUJISAN]
Mlima Fuji
“Mlima” ni YAMA. Lakini linatamkwa SAN, baada ya majina ya baadhi ya Milima.
Maneno na semi katika somo
アンナ | 富士山だ。 近くで見ると、大きいですね。 |
Mlima Fuji. Tukiangalia kwa karibu, unaonekana mkubwa, au siyo? |
---|---|---|
Anna | FUJISAN DA. CHIKAKU DE MIRU TO, ÔKII DESU NE.
Mlima Fuji. Tukiangalia kwa karibu, unaonekana mkubwa, au siyo?
|
|
アンナ | あれ。雲の形が帽子みたいです。 | Eh! Umbo la wingu linaonekana kama kofia.
|
Anna | ARE. KUMO NO KATACHI GA BÔSHI MITAI DESU.
Eh! Umbo la wingu linaonekana kama kofia.
|
|
健太 | あの雲が見えると、雨が降るんだよ。 | Ikiwa wingu lile litaonekana, mvua itanyesha.
|
Kenta | ANO KUMO GA MIERU TO, AME GA FURU N DA YO.
Ikiwa wingu lile litaonekana, mvua itanyesha.
|