Orodha ya Misamiati na Majaribio
Somo la 26
ない [NAI]
Hakuna
Ni namna ya kawaida ya kusema ARIMASEN, umbo la kukanusha la ARIMASU.
Maneno na semi katika somo
アンナ | ロドリゴ、元気がないね。 | Rodrigo, unaonekana hauko sawa.
|
---|---|---|
Anna | RODORIGO, GENKI GA NAI NE.
Rodrigo, unaonekana hauko sawa.
|
|
ロドリゴ | 試験ができなかったんです。 | Sikufanya vizuri katika jaribio.
|
Rodrigo | SHIKEN GA DEKINAKATTA N DESU.
Sikufanya vizuri katika jaribio.
|
|
アンナ | 私も…。60点でした。 次はがんばろう。 |
Mimi pia.... Nimepata alama 60. Tujitahidi wakati mwingine. |
Anna | WATASHI MO.... ROKUJITTEN DESHITA. TSUGI WA GANBARÔ. Mimi pia.... Nimepata alama 60.
Tujitahidi wakati mwingine.
|