Orodha ya Misamiati na Majaribio
Somo la 23
掃除 [SÔJI]
usafi
Maneno na semi katika somo
さくら | この間は門限に間に合った? | Siku ile ulifika bwenini kwa wakati?
|
---|---|---|
Sakura | KONOAIDA WA MONGEN NI MANIATTA?
Siku ile ulifika bwenini kwa wakati?
|
|
アンナ | いいえ。間に合いませんでした。 それで、お母さんに叱られました。 |
Hapana. Sikuwahi. Kwa hiyo, nilikaripiwa na mama msimamizi wa bweni. |
Anna | IIE. MANIAIMASEN DESHITA. SOREDE, OKÂSAN NI SHIKARAREMASHITA. Hapana. Sikuwahi.
Kwa hiyo, nilikaripiwa na mama msimamizi wa bweni.
|
|
アンナ | 掃除当番が3回増えました。 | Jukumu langu la kufanya usafi limeongezeka mara tatu zaidi.
|
Anna | SÔJI TÔBAN GA SANKAI FUEMASHITA.
Jukumu langu la kufanya usafi limeongezeka mara tatu zaidi.
|
|
さくら | それは大変だったね。 | Ilikuwa vigumu, au siyo?
|
Sakura | SORE WA TAIHEN DATTA NE.
Ilikuwa vigumu, au siyo?
|