NHK WORLD > Jifunze Kijapani > Mwanzo wa ukurasa wa Kiswahili > Orodha ya Misamiati na Majaribio > Orodha ya Misamiati

Orodha ya Misamiati na Majaribio

Somo la 21

それほどでも [SOREHODODEMO]

siyo sana
IIE, SOREHODODEMO ni usemi unaotumiwa ukiwa unataka kuonyesha unyenyekevu au kutokuwa na majivuno.

Maneno na semi katika somo

さくら アンナ、上手だね。 Anna, unaimba vizuri.
Sakura ANNA, JÔZU DA NE.
Anna, unaimba vizuri.
アンナ いいえ、それほどでも。 Hapana, siyo sana.
Anna IIE, SOREHODODEMO.
Hapana, siyo sana.
ロドリゴ あっ、もうこんな時間です。 Ah! Muda umekwenda.
Rodrigo A', MÔ KONNA JIKAN DESU.
Ah! Muda umekwenda.
アンナ 大変。門限に間に合わない。 Lo! Sitaweza kuwahi muda wa ukomo wa kurudi.
Anna TAIHEN. MONGEN NI MANIAWANAI.
Lo! Sitaweza kuwahi muda wa ukomo wa kurudi.
*Utatoka kwenye tovuti ya NHK.