Orodha ya Misamiati na Majaribio
Somo la 20
あります [ARIMASU]
kuwa na (tajiriba)
Kando na tajiriba, mara nyingi huwa tunatumia ARIMASU, ikiwa unasema una kitu kama vile muda na nafasi.
Katika somo la 7, ARIMASU ilimaanisha “uwepo”. Katika somo la 9, ilimaanisha “kufanyika kwa tukio.”
Maneno na semi katika somo
ロドリゴ | アンナさんは日本の歌を歌ったことがありますか。 | Anna, umewahi kuimba nyimbo za Kijapani?
|
---|---|---|
Rodrigo | ANNA-SAN WA NIHON NO UTA O UTATTA KOTO GA ARIMASU KA.
Anna, umewahi kuimba nyimbo za Kijapani?
|
|
アンナ | はい、あります。 | Ndiyo, nimewahi.
|
Anna | HAI, ARIMASU.
Ndiyo, nimewahi.
|
|
さくら | どんな曲が得意? | Nyimbo gani unazoweza kuimba vizuri?
|
Sakura | DONNA KYOKU GA TOKUI?
Nyimbo gani unazoweza kuimba vizuri?
|
|
アンナ | アニメの曲です。 | Nyimbo za katuni za anime.
|
Anna | ANIME NO KYOKU DESU.
Nyimbo za katuni za anime.
|