Orodha ya Misamiati na Majaribio
Somo la 19
ごめんなさい [GOMENNASAI]
samahani
Ulijifunza ya kwamba unaweza kusema SUMIMASEN kwa lengo la kuomba msamaha. Unasema GOMENNASAI, ikiwa unaomba msamaha kwa watu ulio karibu nao, mfano familia au marafiki.
Maneno na semi katika somo
ロドリゴ | おーい、アンナさん。 | Anna!
|
---|---|---|
Rodrigo | ÔI, ANNA-SAN.
Anna!
|
|
アンナ | みんな。 | Wote.
|
Anna | MINNA.
Wote.
|
|
ロドリゴ | よかった。心配したよ。 | Ilikuwa vizuri. Tulikuwa na wasiwasi juu yako.
|
Rodrigo | YOKATTA. SHINPAI SHITA YO.
Ilikuwa vizuri. Tulikuwa na wasiwasi juu yako.
|
|
アンナ | ごめんなさい。 カメラが安かったので、つい見てしまいました。 |
Samahani. Kwa sababu kamera zilikuwa bei rahisi, niliangalia tu.
|
Anna | GOMENNASAI. KAMERA GA YASUKATTA NODE, TSUI MITE SHIMAIMASHITA. Samahani. Kwa sababu kamera zilikuwa bei rahisi, niliangalia tu.
|