Orodha ya Misamiati na Majaribio
Somo la 17
ちょっと [CHOTTO]
kidogo
Unaweza kusema hivi kukataa pendekezo kwa namna ya kiungwana, ama isiyo ya moja kwa moja. Baada ya CHOTTO, usemi wa kukanusha, kama vile “ni vigumu kwangu, au siwezi,″huondolewa.
Maneno na semi katika somo
アンナ | あ、この本いいなあ。あれも面白そう。 | Ah! Kitabu hiki ni kizuri. Kile pia kinaonekana kuvutia.
|
---|---|---|
Anna | A, KONO HON II NÂ. ARE MO OMOSHIROSÔ.
Ah! Kitabu hiki ni kizuri. Kile pia kinaonekana kuvutia.
|
|
アンナ | さくらさんのおすすめは何ですか。 | Sakura, pendekezo lako ni lipi?
|
Anna | SAKURA-SAN NO OSUSUME WA NAN DESU KA.
Sakura, pendekezo lako ni lipi?
|
|
さくら | これはどう? | Unaonaje kuhusu hiki?
|
Sakura | KORE WA DÔ?
Unaonaje kuhusu hiki?
|
|
アンナ | ホラーはちょっと…。 | Simulizi za kutisha kidogo mimi aah....
|
Anna | HORÂ WA CHOTTO....
Simulizi za kutisha kidogo mimi aah....
|