NHK WORLD > Jifunze Kijapani > Mwanzo wa ukurasa wa Kiswahili > Orodha ya Misamiati na Majaribio > Orodha ya Misamiati

Orodha ya Misamiati na Majaribio

Somo la 17

面白そう [OMOSHIROSÔ]

kuonekana kuvutia
SÔ inaonyesha ya kwamba unabahatisha au unafanya maamuzi kutokana na mwonekano wa kitu fulani.

Maneno na semi katika somo

アンナ あ、この本いいなあ。あれも面白そう。 Ah! Kitabu hiki ni kizuri. Kile pia kinaonekana kuvutia.
Anna A, KONO HON II NÂ. ARE MO OMOSHIROSÔ.
Ah! Kitabu hiki ni kizuri. Kile pia kinaonekana kuvutia.
アンナ さくらさんのおすすめは何ですか。 Sakura, pendekezo lako ni lipi?
Anna SAKURA-SAN NO OSUSUME WA NAN DESU KA.
Sakura, pendekezo lako ni lipi?
さくら これはどう? Unaonaje kuhusu hiki?
Sakura KORE WA DÔ?
Unaonaje kuhusu hiki?
アンナ ホラーはちょっと…。 Simulizi za kutisha kidogo mimi aah....
Anna HORÂ WA CHOTTO....
Simulizi za kutisha kidogo mimi aah....
*Utatoka kwenye tovuti ya NHK.