Orodha ya Misamiati na Majaribio
Somo la 16
売り場 [URIBA]
upande au sehemu fulani ndani ya duka
MANGA URIBA ni "upande ulio na katuni za manga." “Bidhaa za chakula” ni SHOKUHIN, kwa hiyo upande wenye kuuza chakula ni SHOKUHIN URIBA.
Maneno na semi katika somo
店員 | いらっしゃいませ。 | Karibuni.
|
---|---|---|
Muuzaji | IRASSHAIMASE.
Karibuni.
|
|
アンナ | あのう、マンガ売り場はどこですか。 | Samahani, katuni za manga ziko upande gani?
|
Anna | ANÔ, MANGA URIBA WA DOKO DESU KA.
Samahani, katuni za manga ziko upande gani?
|
|
店員 | 2階です。階段を上がって、右に行ってください。 | Ghorofa ya pili. Tafadhali panda ngazi, na uelekee upande wa kulia.
|
Muuzaji | NIKAI DESU. KAIDAN O AGATTE, MIGI NI ITTE KUDASAI.
Ghorofa ya pili. Tafadhali panda ngazi, na uelekee upande wa kulia.
|