NHK WORLD > Jifunze Kijapani > Mwanzo wa ukurasa wa Kiswahili > Nyenzo za kujifunzia > Namna ya kuunda vitenzi vya umbo la TE - Sehemu ya 2 (Somo la 9)

Nyenzo za kujifunzia

Namna ya kuunda vitenzi vya umbo la TE - Sehemu ya 2 (Somo la 9)

Tujifunze namna ya kuunda vitenzi vya umbo la TE kwa kuimba. Wimbo huu unakufahamisha vile unavyoweza kubadilisha vitenzi vya umbo la MASU hadi umbo la TE, ikitegemea na silabi zinazojitokeza kabla ya MASU. Imba wimbo huo na ukariri kanuni zinazotumika.
Wimbo
Ala saidizi peke yake

I-CHI-RI TTE, MI-NI-BI NDE

I-CHI-RI TTE, MI-NI-BI NDE

KI ITE, GI IDE, ITTE

KI ITE, GI IDE, ITTE

Wimbo (Mp3)
Pakua
Ala saidizi peke yake (MP3)
Pakua
Karatasi inayoonyesha manoti (PDF)
Pakua

Umbo la MASU Umbo la TE
TSUKAIMASU
(kutumia)
TSUKATTE
MACHIMASU
(kusubiri)
MATTE
ATSUMARIMASU
(kukusanyika)
ATSUMATTE
YOMIMASU
(kusoma)
YONDE
KAKIMASU
(kuandika)
KAITE
ISOGIMASU
(kufanya haraka)
ISOIDE
IKIMASU
(kwenda)
ITTE

Tuna maelezo ya kina kuhusu kinachoendelea katika masomo ya sauti. Tafadhali nenda kwenye ukurasa wa masomo kwa kubofya kitufe cha chini, na usikilize somo hilo la dakika 10 katika ukurasa huo.

*Utatoka kwenye tovuti ya NHK.