Nyenzo za kujifunzia
TSU: kiambishi cha kuhesabu vitu kama vile keki (Somo la 7)
Ikifuatana na TSU, namna ya kuhesabu namba moja hadi kumi hubadilika.Kumi ni ya kipekee. Hauwezi kuiongeza TSU, na inatamkwa TÔ.
1つ | HITOTSU |
---|---|
2つ | FUTATSU |
3つ | MITTSU |
4つ | YOTTSU |
5つ | ITSUTSU |
6つ | MUTTSU |
7つ | NANATSU |
8つ | YATTSU |
9つ | KOKONOTSU |
10 | TÔ |
Tuna maelezo ya kina kuhusu kinachoendelea katika masomo ya sauti. Tafadhali nenda kwenye ukurasa wa masomo kwa kubofya kitufe cha chini, na usikilize somo hilo la dakika 10 katika ukurasa huo.